Rais wa Venezuela Nicolas Maduro asema hatoruhusu misaada "bandia" kuingia nchini mwake. Mkutano wa pili kati ya Donakd Trump na Kim jong Un kufanyika mjini Hanoi baadae mwezi huu. Wakimbizi wa Syria walioko kambi ya Rukban, nchini Lebanon wakabiliwa na hali mbaya.