1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 22.12.2016

Sylvia Mwehozi
22 Desemba 2016

Tuliyokuandalia: Ujerumani inahitaji kuzidisha makali ya sheria zake za usalama kufuatia shambulio la kigaidi la Berlin. Ikulu ya Marekani imezuia mikataba mipya ya uchimbaji wa mafuta na gesi katika baadhi ya maeneo ya Artic na Atlantic. Na kampuni ya magari ya Volkswagen ya nchini Ujerumani imefungua tena kiwanda cha kuunda magari yake nchini Kenya baada ya miaka 40 tangu ilipokifunga.

https://p.dw.com/p/2UhZ6