1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 20.01.2018

Sylvia Mwehozi
20 Januari 2018

Rais wa Marekani, Donald Trump leo anatimiza mwaka mmoja tangu alipoingia madarakani, wachambuzi wana yepi ya kusema? Wajumbe wa SPD kupiga kura kesho kuamua kama chama chao kinafaa kuingia katika mazungumzo rasmi ya kuunda serikali ya mseto na Merkel nini kitatokea ikiwa wajumbe wengi watapinga hatua hiyo? Kampuni ya magari ya Ujerumani Volkswagen ni ya kwanza ya kimataifa kuwekeza nchini Rwanda.

https://p.dw.com/p/2rCMT