1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mataifa ya Ulaya yalivyoonesha mshikamano na Ukraine

2 Machi 2022

Moto unaendelea kuwaka Ulaya ya mashariki. Majeshi ya Urusi yameivamia Ukraine na kwa mujibu wa taarifa mapigano yanaendelea kwenye miji ya Ukraine. Hatari imezidi kuwa kubwa baada ya rais wa Urusi Vladimir Putin kuziweka silaha zake za nyuklia katika hali ya tayari! Makala hii ya Mwangaza wa Ulaya inamulika namna mataifa ya Ulaya yalivyosimama kidete na Ukraine.

https://p.dw.com/p/47trp