1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Mashaka juu ya hali ya kiafya ya Rais Joe Biden

3 Julai 2024

Baada ya mdahalo wa kwanza wa urais nchini Marekani, kumeibuka minongono ya namna Rais Biden alivyofanya vibaya katika mdahalo huo akionekana kushindwa kujibu mapigo ya Donald Trump. Uwasilishaji wake ulikuwa hafifu na maswalli yameendelea kujitokeza juu ya uwezo wake kimwili na kiakili kuendelea kuongoza kwa muhula mwengine. Amina Abubakar amezungumza na Profesa David Monda akiwa New York.

https://p.dw.com/p/4hprX