1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Tathmini ya fainali ya kombe la EURO 2024

Josephat Charo
12 Julai 2024

Uhispania inakwaana na England katika mechi ya fainali ya michuano ya kombe la EURO 2024 katika dimba la Olympiastadion mjini Berlin siku ya Jumapili (14.07.2024) Nani zaidi? Je, hamasa ya mashabiki ikoje kuelekea fainali hii na imekuwaje katika mashindano ya mwaka huu? Ungana na Josephat Charo akiongoza kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/4iCwt