1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Mustakabali wa Libya

Zainab Aziz18 Februari 2022

Katika kipindi cha Maoni kwenye meza ya duara tunaumulika mgogo wa Libya. Nchi hiyo ya Afrika Kaskazini haijapata utulivu tangu kuondolewa na kuuawa aliyekuwa kiongozi wa muda mrefu Muamar Gaddafi. Sikiliza kipindi kinachoongozwa na Zainab Aziz

https://p.dw.com/p/47EGD