1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni : Je, ipi nafasi ya wagombea wenza kuelekea uchaguzi?

Josephat Charo20 Mei 2022

Kwenye meza ya duara wiki hii, Josephat Charo na wageni washiriki wamejadili juu ya uteuzi wa wagombea wenza wa Raila Odinga na William Ruto. Je, Martha Karua na Rigathi Gachagua watakuwa na mchango gani kuihakikishia ushindi miungano yao ya Azimio la Umoja na Kenya Kwanza?

https://p.dw.com/p/4BeCR