1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Je, chama cha ANC cha Afrika Kusini kitamegeka?

14 Mei 2021

Zainab Aziz anaongoza mjadala wa Maoni mbele ya Meza ya Duara unaoangazia mzozo mpya na mkubwa unaokiandama chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC. Ni mvutano gani na kipi ni chanzo? Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3tOqb