1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni inaijadili DRC kuelekea uchaguzi wake mkuu Desemba 20

17 Novemba 2023

Kampeni ya uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya kidemokraisa ya Congo, inaanza tarehe 19 Novemba wakati taifa hilo likiwa bado linapitia machafuko kutoka kwa makundi ya waasi. Je mazingira ya kisiasa yakoje wakati kampeni hizo zinapoanza na je uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa? Saumu Mwasimba ndio mwenyekiti wa mjadala huu.

https://p.dw.com/p/4Z1KM