1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mali zilizoibwa Nigeria zarejeshwa

1 Julai 2022

Nigeria na Ujerumani zitasaini mkataba wa maelewanowa kurejesha tunu za kale za Nigeria zilizoko kwenye makumbusho za ujerumani na kufungua njia ya makabidhiano ya haki miliki ya tunu hizi. Tanzania ambayo mabaki ya mjusi wake mkubwa kabisa yako katika makumbusho ya mjini Berlin inamatumaini gani kuhusiana na hatua hiyo ya Ujerumani? Saumu Mwasimba amezungumza na balozi wake Abdalla Posi.

https://p.dw.com/p/4DVFW