1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makundi yaliyojihami kuwasilisha silaha DRC?

28 Aprili 2022

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameyataka makundi yenye silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kuweka chini silaha. Kenyatta ameyasema hayo wakati wa mazungumzo ya amani kati ya makundi mbalimbali ya waasi na serikali ya Kongo. Ili kufahamu zaidi kilichofikiwa katika mazungumzo hayo,Grace Kabogo amezungumza na Didier Bitaki, mtaalamu wa masuala ya ulinzi na sheria za kiutu kutoka Kongo.

https://p.dw.com/p/4AYZS