1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpango aonya kuhusu uzushi mitandaoni.

10 Desemba 2023

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dokta Philip Mpango amjitokeza baada ya majuma kadhaa ya uzushi kuhusu hali yake ya kiafya. Akizungumza mbele ya Rais wa Tanzania mjini Dodoma amewataka Watanzania kutumia mitandao ya kijamii kuombeana mema na heri badala ya kuzushiana vifo.

https://p.dw.com/p/4ZzX3