1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Jussa afafanuwa uamuzi wa ACT kujitowa serikalini

11 Machi 2024

Siku chache baada ya kutangaza safu yake mpya ya uongozi, chama cha ACT Wazalendo, ambacho ni mshirika mdogo kwenye serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar kimesema kinajiondowa kwenye serikali hiyo, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu. Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Ismail Jussa, anafafanuwa uamuzi huo kwenye mahojiano haya na Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4dNc6