1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya rufaa Kenya, yaruhusu utekelezaji wa sheria ya fedha ya 2023

Thelma Mwadzaya28 Julai 2023

Mahakama ya rufaa imeiruhusu utekelezaji wa sheria ya fedha ya 2023 uliositishwa baada ya kesi ya kuupinga kuwasilishwa. Sheria hiyo inadhamiria kuiongezea serikali pato kupitia nyongeza ya kodi. Wakati huo huo, upinzani wa Azimio la Umoja umeshiriki ibada maalum ya kumbukumbu ya waliouawa kwenye maandamano huku Rais William Ruto akiukosoa. Thelma Mwadzaya anaarifu zaidi kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4UWQY