1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya ICC imewalipa fidia ya kitita wahanga wa uhalifu

20 Julai 2023

Mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu, ICC imewalipa fidia ya kitita cha dola milioni 30 wahanga wa uhalifu uliofanywa na mbabe wa kivita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda. Lakini je, wahanga kweli wamefaidika na fidia hiyo? Kwenye makala hii tunautupia jicho utaratibu unaotumiwa na mahakama ya ICC katika kuwapa fidia wahanga wa uhalifu huko mashariki mwa Congo.

https://p.dw.com/p/4UBQX