1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madonda yasiyopona kwa Wanawake wa Tigray

Hawa Bihoga
20 Juni 2024

Vita katika eneo la Tigray vimewaathiri pakubwa wanawake wa Ethiopia wakipitia madhila chungumzima ikiwemo ubakaji, kukatwa viungo vyao vimewafanya kubeba maumivu yasiopona katika maisha yao yaliosalia hapa ulimwenguni. Wanataka haki itendeke miongoni mwa waathirika wa ukatili wa kijinsia katika maeneo ya mizozo na vita.

https://p.dw.com/p/4hI4r