1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dhulma na ubaguzi dhidi ya wajane na mayatima nchini Kenya

19 Julai 2023

Katika baadhi ya jamii nchini Kenya, mwanamke anapopoteza mume wake, anapoteza umuhimu na nafasi yake kwenye familia hiyo. Kina mama wajane na mayatima wamepitia dhulma, ubaguzi na unyanyapaa miongoni mwa magumu mengine. Kwa moani yako, ni vipi wajane na mayatima wanavyopaswa kushughulikiwa baada ya msiba wa mume ama baba wa familia?

https://p.dw.com/p/4U7f8