1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaBurundi

Madakari wa Burundi wakabiliwa na hali ngumu

Amida Issa (HON)15 Septemba 2023

Chama cha kutetea haki za Madaktari na wafanyakazi wa sekta ya afya nchini Burundi, Synapas, kimeitaka serikali kufikiria upya sera ya mishahara na mazingira ya kazi katika sekta hiyo, kikisema kukosekana kwa mazingira mazuri kumechangia madaktari wengi kuondoka na wengine kuikimbia sekta ya umma na kujiunga na sekta binafsi. Msikilize Amida ISSA aliyetuletea taarifa hii kutoka Bujumbura.

https://p.dw.com/p/4WOZc