1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MACEDONIA: Ljube Boskoviski ajisalimisha mwenyewe katika mahakama ya The Hague.

25 Machi 2005
https://p.dw.com/p/CFTk

Waziri wa zamani wa serikali ya Macedonia amejisalimisha mwenyewe katika mahakama ya jinai The Hague nchini Uholanzi.

Ljube Boskovski waziri wa zamani wa maswala ya ndani wa Macedonia anatuhumiwa kwa mauaji ya watu yaliyotokea wakati wa vita vya Albania mwaka 2001.

Aliwasili Uholanzi kutoka Zaghreb mji mkuu wa Croatia ambako alikuwa amezuiliwa kwa makosa mengine tofauti tangu Agosti mwaka jana.