1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maaskofu wa Kikatoliki kama wapatanishi kuelekea uchaguzi DRC

Saleh Mwanamilongo30 Desemba 2015

Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini DRC wamekutana na viongozi wa kisiasa na wale wa mshirika ya kiraia nchini humo kujaribu kuwapatanisha kwa ajili ya kuwepo na uchaguzi tulivu. Huku upinazani na baadhi ya mashirika ya kiraia yameomba uchaguzi wa rais ufanyike Novemba mwakani kulingana na katiba ya Kongo.Taarifa kamili namwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

https://p.dw.com/p/1HW2B