1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano kupinga kupaa gharama za maisha Kenya

20 Machi 2023

Polisi nchini Kenya imewatia mbaroni waandamananji kadhaa mjini Nairobi katika maandamano yalioitishwa na muungano wa upinzani kupinga gharama za maisha,wakosoaji wanasema mamalaka inatumia nguvu kubwa kuwatawanya waandamanaji.

https://p.dw.com/p/4Owd3