1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini Umoja wa Mataifa unashindwa kumaliza mizozo duniani?

Hawa Bihoga
20 Septemba 2023

Mgogoro wa Ukraine, mapinduzi barani Afrika - Umoja wa Mataifa una mengi katika ajenda yake. Lakini muhimili wenye nguvu wa Umoja wa Mataifa, Baraza la Usalama, una kigugumizi katika kufanya kufanya maamuzi.

https://p.dw.com/p/4WbSW