1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwaheri ya kuonana Andrea

23 Juni 2023

Shirika la utangazaji la kimataifa la Ujerumani DW linamuaga mkuu wa idhaa ya kiswahili bi Andrea Schmidt baada ya kulitumikia kwa miaka 37 na kati ya hiyo miaka 18 kama mkuu wa idhaa ya kiswahili. Katika makala hii maalum utasikia namna wafanyakazi wenzie wanavyomzungumzia na hisia zake baada ya kuhitimisha safari yake ya utumishi.

https://p.dw.com/p/4Sz6I