1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Kwaheri Balozi Abdallah Possi Ujerumani

21 Septemba 2023

Katika makala ya Karibuni ya Juma hili utaweza kusikia mahojiano maalumu kati ya Sudi Mnette na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani anaemaliza muda wake. Pamoja na mambo mengine anagusia suala la ongezeko la utalii, mahusiano kati ya taifa lake na Ujerumani pamoja na kukikuza kiswahili.

https://p.dw.com/p/4WePl