1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuzagaa silaha za moto DRC kwachochea uhalifu

12 Februari 2021

Asasi za kiraia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinalalamikia ukosefu wa usalama, ambao unatokana na kuzagaa kwa silaha za moto ambazo zinatumiwa na wahalifu kuwashambulia raia. Hali hiyo imekithiri katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/3pGDz