1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutoa kwa wasiokuwa na uwezo wakati wa Ramadhan

4 Aprili 2023

Wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kumekuwa na shughuli chungumzima katika mataifa ambayo yanaishi katika utamaduni wa kiislam.Kuanzia watu binafsi hadi viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitoa misaada kwa watu wenye mahitaji.

https://p.dw.com/p/4PgsX