1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Haytham Isse kijana anaetoa elimu kwa vijana wenzake

14 Juni 2024

Elimu ni nguzo inayoongoza kuelekea mafanikio. Haytam kupitia shirika lake la Kijamii la Future Pillars akishirikiana na wenzake anahakikisha kila kijana anapata fursa ya kusonga mbele kielimu. Fathiya Omar amezungumza nae kwa kirefu katika Makala hii ya vijana na uongozi.

https://p.dw.com/p/4h1eS