1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kurunzi wanawake: Soko huria barani afrika

Sylvia Mwehozi
14 Septemba 2022

Wanawake na vijana barani afrika wana nafasi kubwa katika biashara na soko huria la bara la afrika kujiimarisha kiuchumi licha ya changamoto wanazopitia. Kurunzi wanawake inazungumza na washiriki wa mkutano wa Afcfta.

https://p.dw.com/p/4Gpbm