1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kunani katika kandanda la Ujerumani timu ya taifa inayumba? - MP3-Stereo

19 Juni 2023

Umesalia mwaka mmoja tu Ujerumani kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Ulaya na timu ya taifa inaonekana kuyumba chini ya uongozi wa kocha Hansi Flick. Ijumaa katika mechi ya kirafiki, Ujerumani ililazwa moja bila na Poland na kabla hapo ilitoka sare ya mabao matatu na Ukraine. Kwa sasa Die Mannschaft imekwenda mechi tatu mfululizo bila kutoa ushindi. Msikilize Jacob Safari na Sekione Kitojo.

https://p.dw.com/p/4Slcu