1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kujikolonisha kwa wasomi wa Kiafrika

24 Juni 2024

Wakati Afrika ikipambana kujitowa kwenye makucha ya ukoloni mamboleo ambao umesalia hata baada ya zaidi ya miongo mitano tangu kumalizika kwa ukoloni mkongwe, inasikitisha kuwa miongoni mwa vikwazo vya kutofanikiwa mapambano hayo ni tabaka la wasomi, ambao, kwa maneno ya Profesa Aldin Mutembei wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wamechaguwa "kujikolonisha".

https://p.dw.com/p/4hRDz