1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo yasitisha mageuzi ya sheria ya madini

Saleh Mwanamilongo11 Machi 2016

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetangaza kusimamisha kwa muda mageuzi ya sheria ya madini, kutokana na kuporomoka bei ya madini kwenye soko la kimataifa. Tangazo lilopingwa vikali na mashirika 42 ya kiraia.

https://p.dw.com/p/1IBYA