1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo mwanachama mpya wa jumuiya ya EAC

30 Machi 2022

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) taifa kubwa lilojaa utajiri wa maliasili litakuwa mwanachama wa saba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. DRC imejiunga rasmi na jumuiya hiyo Jumanne ya tarehe 29.03.2022.

https://p.dw.com/p/49EOh