1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la vyombo vya habari laanza Bonn Ujerumani

Hawa Bihoga
19 Juni 2023

Kongamano la kimataifa la vyombo vya habari laanza mjini Bonnj Ujerumani,mada kuu inayojadiliwa katika kongamano hilo lenye washiriki zaidi ya 2000 kutoka mataifa zaidi ya 120 ni "kuishinda migawanyiko."

https://p.dw.com/p/4SlPj