1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi

17 Juni 2024

Michuano ya Kombe la Ulaya inaendelea kushika kasi, Jumla ya timu 16 zinazoshiriki michuano hiyo tayari zimepiga mechi za kwanza. Je timu gani zinapigiwa upatu zaidi kushinda kombe la mwaka huu? Tutaelekea Kenya ambapo Juniour Starlets wamefuzu kwa kombe la dunia. Zaidi sikiliza makala ya Michezo.

https://p.dw.com/p/4hD7d