1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Kipindi cha Karibuni 30.07.2022

28 Julai 2022

Katika kipindi hiki cha Karibuni Msanii wa Muziki Asilia wenye vionjo vya Kitanzania, Arba Manilah anaeishi Kemnitz Ujeruami anaeleza mafanikio yake huku akitoa uwanja kwa wasanii wa Tanzania kufanya kazi Ujerumani. Zaidi msikilize alivyozungumza na Sudi Mnette wa DW.

https://p.dw.com/p/4Ems3