1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UchumiTanzania

Kinagaubaga: Mikakati ya kuimarisha zao la korosho Tanzania

16 Agosti 2023

Tanzania ni moja kati ya nchi zinazozalisha kwa wingi zao la korosho duniani baada ya Ivory Coast, Cambodia, Vietnam na India. Serikali inapania kuongeza uzalishaji wa korosho kufikia tani milioni moja ifikapo mwaka 2030. Je, serikali imeweka mikakati gani kuendeleza zao la korosho? Salma Mkalibala amezungumza na Mkurugenzi wa bodi ya korosho Tanzania, Francis Alfred.

https://p.dw.com/p/4VEw9