1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Kinagaubaga: Kagame ashinda uwenyekiti wa RPF

Sudi Mnette4 Aprili 2023

Chama Tawala nchini Rwanda RPF kimemrejesha tena kwa kishindo Rais Paul Kagame, kuwa mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuibuka na asilimia 99.08 ya kura zote. Sudi Mnette amezungumza na Harerimana Abdukarim aliyegombea na kushindwa Kagame katika wadhifa huo

https://p.dw.com/p/4Pfml