Kesi ya aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Jean Pierre Bemba, inaanza leo katika mahakama ya kimataifa ya ICC huko Hague, Uholanzi.
https://p.dw.com/p/QFUl
Kesi ya Jean Pierre Bemba yasikilizwa leo The HaguePicha: AP Photo
Matangazo
Nchini Kongo kesi hiyo inafuatiliwa kwa hamu, kama mwandishi wetu kutoka Kinshasa, Salehe Mwanamilongo, anavyotuarifu,