1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UchumiKenya

Kenya Airways yatangaza faida baada ya miaka saba

Sylvia Mwehozi
27 Machi 2024

Shirika la ndege la Kenya limetangaza kupata faida ya uendeshaji kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka saba. Katika tangazo lake, Kenya Airways imedai kupata faida ya shilingi bilioni 10.5 za Kenya hadi mwishoni mwa mwaka jana, ikilinganishwa na hasara ya uendeshaji ya shilingi bilioni 5.6 za Kenya mwaka 2022. Mengi aliyasema mchambuzi wa masuala ya Uchumi kutoka Kenya Charles Karisa.

https://p.dw.com/p/4eCJ8