1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mustakabali wa Zanzibar na siasa za chuki

Mohammed Abdulrahman Mohammed25 Januari 2016

Miongoni mwa majeraha yaliyochukuwa muda mrefu kupona visiwani Zanzibar ni siasa za chuki na kauli za kibaguzi, ambazo mara kadhaa zinahusishwa na machafuko yanayotokea wakati na kila baada ya uchaguzi katika visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi. Maoni Mbele ya Meza ya Duara inasaka jawabu la kadhia hii kutoka kwa wanamjadala.

https://p.dw.com/p/1HjUc