1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karume atoa ufafanuzi wa kisheria ubunge wa Lissu

22 Januari 2019

Suala la Tundu Lissu kutorejea bungeni hadi sasa lachukua sura mpya baada ya mbunge huyo kudai kuwa kuna mpango wa kumvua ubunge wake. Zainab Aziz anazungumza na wakili Fatma Karume rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika kuhusu msingi wa kumvua mwakilishi yeyote ubunge wake?

https://p.dw.com/p/3BxBp