1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kansela wa Ujerumani afanya ziara ya kwanza barani Afrika

23 Mei 2022

Olaf Scholz ameahidi msaada kwa nchi za Afrika zilizoathiriwa na uhaba wa chakula unaoikumba dunia nzima kutokana na vita vya Ukraine. Kansela wa Ujerumani anafanya ziara yake ya kwanza katika nchi tatu za Afrika tangu alipochukua wadhifa huo wa kansela.#kurunzi

https://p.dw.com/p/4BkPI