1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampala yawekwa katika hali ya tahadhari kutokana na Ebola

17 Oktoba 2022

Mji mkuu wa Uganda, Kampala umewekwa katika hali ya tahadhari huku wakaazi wake wakishauriwa kuzingatia kanuni za kuepusha maambukizi ya Ebola na kuripoti watu wanaowashuku kuugua ugonjwa huo. Wakati huo huo wilaya mbili zenye idadi kubwa ya maambukizi za Mubende na Kassanda zimewekwa katika karantini. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4IHAc