1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kamati ya kuyapokonya silaha makundi yaliyojihami DRC yaanza kazi

28 Aprili 2022

Baada ya kukamilika hatua ya kwanza ya mazungumzo kati ya serikali ya Congo na makundi ya waasi mjini Nairobi, mratibu wa mpango wa kuwapokonya silaha wapiganaji wa zamani nchini Congo, Tommy Tambwe, amefanya ziara mjini Bukavu na kutangaza rasmi kamati ya utekelezaji wa mpango huo, ili kuwapokonya silaha wapiganaji wa zamani. Isikilize ripoti ya Mitima Delachance.

https://p.dw.com/p/4AZzH