1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za serikali kurejesha vinamasi

16 Agosti 2023

Serikali ya Ujerumani inaendelea na juhudi za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kurejesha vinamasi yaani sehemu za majimaji katika maeneo ya Ujerumani. Kwa sasa juhudi hizo zinafanyika katika mji wa Malchin uliopo kwenye jimbo la kaskazini mashariki mwa Ujerumani la Mecklenburg Pomerania. Mtayarishaji wa Makala hii ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4VEbE