1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuwapa wanawake nafasi zaidi serikalini Kenya

Thelma Mwadzaya20 Oktoba 2022

Makala ya wanawake hii leo inaangazia juhudi za kuiongeza idadi ya wanawake katika uongozi wa ngazi ya juu nchini Kenya. Kenya inaunda serikali yake mpya ya bunge la 13 na idadi ya wanawake kwenye ngazi ya juu imeongezeka. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2022, Rais William Ruto aliahidi kuwatengea wanawake nusu ya nafasi kwenye baraza lake la mawaziri. Thelma Mwadzaya anamulika zaidi.

https://p.dw.com/p/4IRfl