1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jitihada za uokozi zinaendelea Uturuki,Syria

Hawa Bihoga
8 Februari 2023

Jitihada za uokozi na kutambua miili zinaendelea Uturuki na Syria baada ya tetemeko lenye ukubwa wa 7.8 kupiga siku ya jumatatu.Miongoni mwa waliokolewa ni pamoja na watoto wadogo waliokuwa wamekwama kwenye kifusi cha majengo.Idadi ya waliofariki imepindukia 9000.

https://p.dw.com/p/4NENn