1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je wazazi waendelee kuwaachia watoto urithi?

Bruce Alakonya/ MMT29 Agosti 2023

Kwenye Vijana Mchakamchaka, mada tunayoijadili ni urithi wa mali ya wazazi au wazazi kuwarithisha watoto mali. Je vijana wana mtizamo upi kuhusu urithi wa mali? Na je wazazi wanahisi vipi kuhusu kuwaachia watoto urithi? Nahodha wa mjadala ni Bruce Amani?

https://p.dw.com/p/4Vgcq