1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, wabunge wa Kenya wanaweza kuzuia bajeti ya serikali?

Rashid Chilumba6 Juni 2023

Kwenye mahojiano ya Kinagaubaga, Rashid Chilumba amezungumza na Gathoni Wamucomba, mbunge nchini Kenya ambaye ni sehemu ya kundi la wabunge wanaoupinga muswada wa sheria ya fedha uliopendekezwa na serikali.

https://p.dw.com/p/4SFgX